Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / TUNDA HANA MUDA WA KUBEMBELEZA MWANAUME

TUNDA HANA MUDA WA KUBEMBELEZA MWANAUME

| No comment

MUUZA nyago maarufu kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefunguka kuwa, watu wanamuona hawezi kudumu na mwanaume mmoja, lakini ni kwa sababu hapendi kufanyiwa ujinga kisha kunyamaza kama walivyo wanawake wengine.


Image result for tunda na casto

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Tunda alisema sasa hivi wanaume wengi wanapenda kuwachezea wanawake kwa sababu wanawajua ni dhaifu, lakini wangejitambua thamani yao wala wasingekubali kupelekeshwa na wanaume.

 
“Sijui kabisa kitu kubembeleza mwanaume ni kitu ambacho sijajaliwa kabisa. Mimi najua kupenda kama mwanaume atakavyonipenda, lakini mambo mengine hapana, vitu vingine anatakiwa anifanyie mimi kama mwanamke wake,” alisema Tunda.


#Global