Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / KUACHA IDADI YA WATOTO ALIONAO P DIDDY ANATARAJIA KUONGEZA TENA MTOTO MWINGINE

KUACHA IDADI YA WATOTO ALIONAO P DIDDY ANATARAJIA KUONGEZA TENA MTOTO MWINGINE

| No comment
LICHA ya kuwa na watoto wengi mithili ya timu ya mpira wa kikapu, rapa mkongwe kwenye Muziki wa Hip Hop, P Diddy anatarajia kuitwa baba kutoka kwa mchumba wake, Cassie.

Image result for P DIDDY AND CASSIE

Katika picha mbalimbali zilizosambaa juzikati, zilikuwa zikimuonesha Cassie akiongozana na P Diddy huku kitumbo kikiwa ‘ndi’. Endapo Cassie atajifungua salama, atakuwa mtoto wake wa kwanza kuzaa na rapa huyo ambaye kwa sasa ana watoto sita aliozaa na wanawake tofauti. Katika mahojiano aliyowahi kufanya hivi karibuni, P Diddy alikaririwa akisema; “Nawapenda watoto wangu, naelekea watoto nane sasa bila kuwa na tatizo.”