Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / HARMONIZE KUINUSURU NDANDA FC

HARMONIZE KUINUSURU NDANDA FC

| No comment

Msanii wa bongo fleva Harmonize ambaye pia ni shabiki mkubwa wa timu ya Ndanda SC, ametoa shilingi milioni 3.5 kwaajili ya kuisaidia timu hiyo iliyokwama mkoani Singida baada ya mchezo wake wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa Oktoba 6, 2018 dhidi ya Singida United, na kufungwa mabao 3-1.


Timu hiyo ilizuiwa kuondoka baada ya kushindwa kulipa gharama za hotel pamoja na kukosa nauli ya kurejesha mkoani Mtwara.

Ndanda SC wamemshukuru muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani kwaajili ya show za tour yake ya kimuziki.