Moro Kitaa Blog
Sorry, but you are looking for something that isn't here.
You are here:
Home
/
MUSIC NEWZ
DIAMOND ATOA YA MOYONI KWA MZEE KIKWETE
DIAMOND ATOA YA MOYONI KWA MZEE KIKWETE
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameamua kueleza hisia zake kupitia salamu za kumtakia kheri Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa, kwa sasa Wasanii wa muziki wamem-miss sana Mzee Kikwete kwani uongozi wa sasa umewazuia hata kutumbuiza kwenye kampeni.
“BONGO FLAVA GODFATHER…WE LOVE & MISSING YOU 😪ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜“ðŸ˜. Vijana wako leo tumeambiwa hatuna tena umuhimu, hatutakiwi tena kwenye Kampeni. Hatuna tena thamani what can we say? sawa tunashukuru, ila tumeumia,“ameandika Diamond Platnumz.