Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / DIAMOND AKIWA TANDALE BABU TALE AKWEPA TUHUMA ZA KUBAGUA WATU WA KUWAPA BIMA NA MISAADA MWINGINE

DIAMOND AKIWA TANDALE BABU TALE AKWEPA TUHUMA ZA KUBAGUA WATU WA KUWAPA BIMA NA MISAADA MWINGINE

| No comment

Meneja wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Babu Tale amekanusha madai kuwa msaada wa bima ya afya unaotolewa na msanii wake ni kwa ajili ya watu maalum.



Tale amelazimika kusema hayo baada ya kuwepo malalamiko ya watu  wakiamini kuwa wanaopata waliandaliwa.

 
Meneja huyo yupo katika uwanja wa Magunia kutoa  bima hizo kwa niaba ya Diamond ambaye bado hajawasili amesema wanatoa bila kuchagua.

 


"Jamani kutoa riziki ni kazi ngumu ndio maana Mungu amejificha kwahiyo hayo malalamiko yenu nayaelewa hakuna aliyechaguliwa kabla kila kitu kinafanyika hapa hapa, msije mkaniroga bure mie nimetumwa tu.

 

“Kijana wenu ameamua kutoa bima hizi kwa ajili ya wana Tandale wote bila ubaguzi ” -Babu Tale