Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / CHID BENZ ATOA YA MOYONI KUHUSU MADAWA

CHID BENZ ATOA YA MOYONI KUHUSU MADAWA

| No comment

Mwanamuziki wa kizazi kipya Chid benz ambaye alihusishwa na matumizi ya madawa ya kulevya,jana aliweza kupewa nafasi ya kuongea katika sherehe za siku ya kuzaliwa ya msanii Diamond Platnumz na kuongea maneno ya kuumiza sana. 



Sherehe hizo zilizofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Tandale ambazo zilihudhuriwa na watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serikali pia wadau mbali mbali wa sanaa ya muziki Tanzania. Chid benz alipata nafasi hiyo ya kuongea huku akipafomu nyimbo yake ya “Dar es salaam stand up” na kupokelewa kwa shangwe sana na wakazi wa kata hiyo ya Tandale waliohudhuria mahala hapo


Baada ya kumaliza kupafomu aliweza kumshukuru Diamond pamoja na wageni wote lakini pia shukrani nyingi alizirudisha kwa mashabiki wake na kuongea maneno yalimuumiza kila mmoja aliyefika mahala hapo kuhusiana na matumizi ya madawa ya kulevya.

Haya ndio maneno ya Chid benz:- https://www.youtube.com/watch?v=QVxsWbgApnc

Credit: Bongo5