Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / TUPAC YUPO HAI

TUPAC YUPO HAI

| No comment

Tangu kifo cha rapper Tupac Sharuk, zimeibuka tetesi na nadharia mbali mbali kuwa rapper huyo yupo  hai na wengine wanadai kuwa alienda kujificha kwenye visiwa vya Carrebian wengine wanadai amejificha Cuba.



Jamaa mmoja aliejulikana kwa jina la Michael Nice ameibuka na kudai kuwa miaka ya 90 alikuwa mlinzi wa chama cha "Black Panther" na walipokea taarifa za kuwa Tupac alikuwa hatarini kuuliwa kwaiyo wakapanga mpango wa kumtorosha nchini marekani.


Kabla hawajafanikiwa ndio lilitokea tukio la kupigwa risasi Las Vegas tarehe 7 September 1996 lakini walifanikiwa kumtorosha baada ya hapo hadi huko Barbados, 


"It was me, my brother, the pilot, Tupac as the co-pilot and two panther guys on the jet, we took off and immediately knew we were safe, we felt good and it was like escaping from prison.There were hugs and handshakes when we finally managed to get him to Barbados". Alisema.


Bwana Michael Nice amepanga kuandika kitabu kuhusu hii story.