Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / STEVE NYERERE KUWACHANA WADADA WA MJINI

STEVE NYERERE KUWACHANA WADADA WA MJINI

| No comment
Related image
                                               Steve Nyerere - Msanii Wa Bongo Movie

Wasichana wa mjini wanaamini mume tajiri anapatikana kwa mganga.

Msanii wa filamu nchini, Steve Nyerere amedai kuwa wasichana wengi wa mjini wanaamini hawawezi kutusua kimaisha au kupata wanaume wenye pesa bila kwenda kwa waganga wa kienyeji.