Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / PROMOTA KUMUINGIZA MJINI TIWA SAVAGE

PROMOTA KUMUINGIZA MJINI TIWA SAVAGE

| No comment
Image result for tiwa savage

Msanii kutoka Nigeria Tiwatope Savage-Balogun,alimaarufu Tiwa Savage amlaumu Promota aliyempeleka Kenya kwa kumuuacha solemba.


Tiwa Savage amefunguka kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa anaipenda sana Kenya ila kitu walichomfanyia huko Kenya sio kizuri kabisa kwani Promota aliyempeleka Kenya kwenye uzinduzi wa albam ya msanii kutoka Kenya Redsan.


Inadaiwa kuwa Promota aliyempeleka Kenya alimkimbia Tiwa Savage katika hoteli aliyokuwa amefikia lakini alipojaribu kumpigia simu akawa hapokei:-


Image result for tiwa savage

Haya ndio malalamiko ya Tiwa Savage:-