Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / MAHAKAMA YA NCHINI ZAMBIA IMEAGIZA KUKAMATWA KOFFI OLOMIDE

MAHAKAMA YA NCHINI ZAMBIA IMEAGIZA KUKAMATWA KOFFI OLOMIDE

| No comment
Image result for KOFFI OLOMIDE


Mahakama ya nchini zambia imeagiza kukamatwa kwa msanii kutoka DRC Koffi Olomide kwa madai ya kumpiga mpiga picha nchini humo miaka 6 iliyopita, hatua hii imekuja baada ya Koffi kutoonekana Mahakamani siku ya ijumaa Septemba 21 kujibu mashtaka kama alivyotakiwa.


#MillardayoUpdate