Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / KWA MARA YA KWANZA MAUA SAMA ATOA NENO BAADA YA KUTOKA POLISI

KWA MARA YA KWANZA MAUA SAMA ATOA NENO BAADA YA KUTOKA POLISI

| No comment

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Maua Sama ameweza kufunguka na kueleza jinsi alivyopitia katika kipindi kigumu akiwa mahabusu. Maua Sama alikamatwa na Polisi wiki mbili zilizopita kwa tuhuma za kuidhihaki pesa ya Tanzania kwa kupost video inayoonesha watu wakizichezea pesa za kitanzania.



Juzi tarehe 25 Maua Sama na mtangazaji wa CloudsFm Soudy Brown waliachiwa majira ya saa moja usiku kwa dhmana.

Na hii ndio kauli yake:-



Maua Sama alikamatwa na jeshi la Polisi pamoja na mtangazaji wa Clous Fm anayejulikana kwa jina la Soudy Brown kwa kosa hilo moja.