Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / KANYE WEST KUWANIA URAIS WA MAREKANI

KANYE WEST KUWANIA URAIS WA MAREKANI

| No comment

Image result for kanye westKanye West bado anaitolea macho ikulu ya White House, atangaza nia ya kugombea tena kiti cha Urais mwaka 2024.
Kwenye mahojiano na Power 92 Chicago, Yeezy aliweka wazi kuwa amesogeza mbele ahadi yake na sasa atagombea 2024.
"Kama nikiamua kufanya hivyo nitakamilisha. Sitaenda kujaribu. Ndio, asilimia 100 itatokea...2024." alisema Kanye.
Awali rapper huyo alitangaza kugombea mwaka 2020 lakini kilichoonekana kama kutaka kumpinga Trump, Yeye ameamua kutupeleka miaka 6 mbele hii ni kwa sababu ya ushkaji wa nguvu alionao na Rais Trump.