Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / JESHI LA POLISI WAKISHIRIKIANA NA WANANCHI KUFANYA MAANDALIZI YA MAZISHI YA PAMOJA YA WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA MV NYERERE

JESHI LA POLISI WAKISHIRIKIANA NA WANANCHI KUFANYA MAANDALIZI YA MAZISHI YA PAMOJA YA WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA MV NYERERE

| No comment


Jeshi la polisi wakishirikiana na wananchi tayari wameshaanza kuchimba makaburi kwa ajili ya kuwapumzisha Marehemu waliofariki ktk ajali ya MV Nyerere. 


Hadi kufikia sasa takribani Miili 172 imetambuliwa, 37 haijatambuliwa, 112 imeshachukuliwa na ndugu kwa ajili ya mazishi