Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / DRAKE KUTOKA KIMAPENZI NA KIM KARDASHIAN

DRAKE KUTOKA KIMAPENZI NA KIM KARDASHIAN

| No comment


Muimbaji na mchekeshaji Nick Cannon amefunguka kuwa anaamini rapper Drake atakuwa amempitia Kim Kardashian.

Akizungumza kwenye interview na complex 'Everyday Struggle' Nick Cannon aliungana na DJ Akademiks ambaye alianzisha mada hiyo: "I think Drake Smashed Kim K, no cap"- alisema Akademiks ambapo Cannon alidakia kwa kusema
"That ain't that far off a concept, There's something really personal Drake holds over that whole family that's like,y'all don't want me to let out"- alijibu Cannon akisema Drizzy ana siri nzito sana ameishikilia juu ya familia ile.
Hii inakuja baada ya sakata la bifu ya Pusha T na Drake kuisha kwa J Prince kuingilia kati na kumtaka Drake asiiachie ngoma ambayo kwa maelezo yake, ingeharibu maisha ya Kanye west.
Cannon anaamini, Kanye alimfata J Prince na kumuomba ili amzuie Drake asimwage siri hiyo, na alifanikiwa.