
Mwishoni mwa wiki hii siku ya Ijumaa ilitangazwa kutokuwepo kwa show ya Drake,Migos, Aubrey pamoja na Three Amigos,Show ambayo ingefanyika Miami nchini Marekani ingawa sababu hazikuwekwa wazi zaidi,baada ya kuongea kwenye mitandao ya kijamii American Airlines Arena na kusema sababu ziko nje ya uwezo wao.
