Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / DAVIDO KUIJIA JUU TUME YA UCHAGUZI ADAI 'MIAKA MITATU HAKUNA MAENDELEO'

DAVIDO KUIJIA JUU TUME YA UCHAGUZI ADAI 'MIAKA MITATU HAKUNA MAENDELEO'

| No comment

Msanii wa muziki nchini Nigeria, Davido amewaomba wafuasi wa chama cha kisiasa nchini humo cha  Peoples Democratic Party (PDP) wapingane na kauli ya Tume ya Uchaguzi nchini humo.


Image result for davido

Davido amesema matokeo ya uchaguzi wa Gavana katika jimbo la Osun nchini humo, yanaonesha mjomba wake Ademola Adeleke kupitia chama cha PDP, ameshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huo lakini Tume ya Taifa inataka kubadilisha matokeo hayo na kutaka uchaguzi urudiwe tena.

They are planning now to declare the election inconclusive as a result of cancellation and violence in some p u bc the margin is too close, PDP must fight this injustice. We must come out to say no to this daylight robbery !!!! @inecnigeria”ametweet Davido.

Davido aliendelea kumpigia upatu Mjomba wake kwa kusema kuwa Chama Tawala nchini Nigeria cha APC kisichukulie poa kupanga matokeo kwani wananchi wa jimbo la Osun wamechoshwa na chama hicho na hawapo tayari kuishi maisha ya tabu kwa miaka mitatu.


We are not joking on this election matter this time around
APC think say osun ppl be mumu
Noone can clap with one hand
Ajumose ni
Let deliver ourselves from these wicked Ajeles
#osunhasrapidlyliberated# @IsiakaAdeleke1 πŸ‡³πŸ‡¬πŸ‡³πŸ‡¬
No re run !! Announce winner now @inecnigeria !! Stop waiting on that call ! It won’t come ! @IsiakaAdeleke1 ! πŸ‡³πŸ‡¬πŸ‡³πŸ‡¬πŸ‡³πŸ‡¬πŸ™πŸ½πŸŒπŸ‘€ THE WORLD IS WATCHING
The good people of Osun have spoken against no salaries for 3 years,against lack of empathy for pensioners, against fake elephant projects that doesn’t benefit our people.They have voted for a new dawn, the light is here, Imole de INEC should let the people’s will prevail in Osun


Licha ya Tume ya Taifa nchini humo (INEC) mpaka sasa kutotangaza matokeo ya uchaguzi, matokeo yanaonesha kuwa Mjomba wake na Davido anaongoza kwa kura 254,698 dhidi ya mpinzani wake wa Chama tawala cha APC kura 254, 345 kwenye uchaguzi huo.

Mzee Ademola Adeleke ni mjomba wake kabisa na Davido na watoto wake ni B-Red na Sina Rambo ambao wote wanafanya kazi na Lebo ya muziki ya DMW ya Davido.