Ndani ya club kakala watu wanazidi kusogea kwenye dance floor wakiendelea kuburudika na mziki mkali wa dj CK
Pale Party inapoanza kunoga
Mikono hatari ya Dj Ochu ikiwapagawisha Wana DMI & Mwalimu Nyerere University
kutoka kushoto ni waziri wa michezo sanaa utamaduni na michezo Bw.Samson Kizito akiwa na mwenyekiti wa masomo ya jamii Bw.Omary Who ndani ya club kakala kigamboni