Club kakala, DMI pamoja na Chuo cha Kumbukiumbu ya mwalimu nyerere Kigamboni inakuletea STREES OFF & PENS DOWN Hii ni baada ya kusoma kwa muda mrefu na kuteseka na mitihani tunatua mawazo chini na peni ,sasa ni muda wa kusahau shida zote na kuburudika na watoto wazuri ndani ya club kakala kigamboni tarehe 12/07/2017 siku ya jumatano ,kutakuwa na wasanii kibao kutoka Chuoni mwalimu nyerere akiwemo hit maker wa Yaga Medy Molin na kusindikizwa na mfalme wa temeke Young Tusso Kwa kiingilio cha elfu tano tu [5000] ,kwa watoto wazuri itakuwa ni bure
Tiketi zinapatikana
CLUB KAKALA
Chuoni Mwalimu Nyerere Memorial Academy
DMI
Contact :0659120152