Mwanzilishi wa blog yako pendwa ya moro kitaa Dez Harakati wa pili kushoto akiwa na waandaaji wa party ya STRESS OFF & PENS DOWN ndani ya club kakala kigamboni Jerryson Kiria [wa kwanza kushoto] ,Abel Mahunda [wa pili kulia] pamoja na mwandaaaji wa script Michael Konga [wa kwanza kulia]
warembo toka chuo cha kumbu kumbu ya mwalimu ya nyerere pamoja na DMI wakiinjoi usiku wa STRESS OFF & PENS DOWN
NYAU WA JIJI KENDRICK