Warembo kutoka mwalimu nyerere memorial accademy kigamboni
Wanajulikana kama Nyau wa jiji kutoka Mwalimu nyerere memorial accademy
Moja ya walio udhuria kwenye usiku wa Stress Off & Pens Down
Wanamuita Mbwana Khamisi kutoka Club kakala kigamboni
Dancers wakionesha kipaji chao ndani ya usiku wa stress off & Pens down
Anajulikan kwa jina la B.O.T the don akionesha yake kutoka darasa la sanaa mwalimu nyerere memorial accademy
Basta kutoka darasa la sanaa mwalimu nyerere memorial accademy akikonga nyoyo za mashabiki wake
Hit maker wa Yagga iliyofanywa chini ya label kubwa nchini Tanzania WCB akionesha ujuzi wake jukwaani
Mpiga picha wetu wa matukio yote ndani ya usiku wa stress off & Pens Down