Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / MEDY MOLIN KUWA MSANII MPYA WA WCB.

MEDY MOLIN KUWA MSANII MPYA WA WCB.

| No comment

Msanii chipukizi Medy Molin hit maker wa  Sawa anavuma kwa sasa na wimbo wake mpya wa YAGA. wimbo huu umetoka studio za Wasafi Record chini ya mikono hatari ya Lizer Classic.Medy Molin amekataa uvumi unaovuma kuwa tayari ameshasainiwa na lebo ya WCB iliyopo chini ya Diamond Platnumz.Medy akipiga story na MOROKITAA BLOG amesema "kuna siri nzito sana kati yangu na WCB ambayo watu wataijua hivi karibuni ila  siwezi kusema tayari nipo  WCB ila nashukuru sana kwa  support ambayo naipata kutoka kwao" alisema Medy Molin ambaye hivi karibuni anatarajia kuachia Video ya wimbo wake mpya wa YAGA.

unaweza kusikiliza na kudownload wimbo mpya wa yaga hapa chini.