
Unaweza kupata update za nyimbo mpya za Msanii wako pendwa Mash Jay a.k. Mr Masubuko kupitia tovuti ya wasafi.com
Mr Masumbuko ni track yake mpya inayofanya vizuri kwa sasa na inajaribu kuelezea maisha ya wasanii jinsi yanavyokuwa kabla hawajatoka. Mash Jay ni miongoni mwa wanamziki wa Hip Hop wanaofanya vizuri na wenye umahiri wa utunzi wa mashair
msapoti kwa kupakuwa nyimbo zake katika tovuti ya wasafi.com kupitia link hii hapa chini..
https://wasafi.com/audio-detail?audio_id=365