Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / NEW VIDE |JOSLIN - ONLY YOU |Official Music Video

NEW VIDE |JOSLIN - ONLY YOU |Official Music Video

| No comment


Ule usemi wa kimya kingi kinakuwa na mshindo mkubwa, inaweza kuwa ni jibu la Joslin, rapa na muimbaji aliyepata kushine kwenye game ya BongoFlava akiwa na kundi la Wakali Kwanza miaka kadhaa iliyopita na leo ametuletea video yake mpya “Only You”.

Audio ya single hii imefanywa ndani ya studio za MJ Records chini ya producer Beef Chali ambaye ni mdogo wa Marco Chali, producer mkubwa na mwenye heshima Tanzania na Afrika Mashariki ambaye naye amehusika kwenye kuifanyia mixing na mastering single hiyo na kwa upande wa video imefanywa na director Rich Cashx.