Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

| No comment
Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.afrimma
afrimma
Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.
“Team Tanzania Mungu ni mwema siku zote,” ameandika Harmonize baada ya ushindi huo.
14723585_204730183290000_6229108837392056320_n
14723585_204730183290000_6229108837392056320_n
Harmonize akiwa na Akothee aliyeshinda tuzo ya msanii bora wa kike Afrika Mashariki na Willy M Tuva
Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.