Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Alikiba na Vanessa Mdee kutumbuiza na Chris Brown Mombasa

Alikiba na Vanessa Mdee kutumbuiza na Chris Brown Mombasa

| No comment


Alikiba na Vanessa Mdee watapanda jukwaa moja na nyota wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown.
vanessa
Wawili hao watatumbuiza pamoja na Chris Brown, Oktoba 8, mwaka huu kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music.
“Mombasaaaaaa it’s ME N U this weekend. @mombasarocksfestival 👌💜🎤👑 #Juu #Niroge,” ameandika Vanessa kwenye Instagram.
Nyota wa Nigeria, Wizkid naye atatumbuiza kwenye tamasha hilo kubwa.