Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Video/Picha: Diamond na Ne-Yo washoot video ya wimbo wao ‘Marry You

Video/Picha: Diamond na Ne-Yo washoot video ya wimbo wao ‘Marry You

| No comment
Hatimaye Diamond na Ne-Yo wameshoot video ya wimbo wao, Marry You.
Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu.
Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo huo pamoja kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.
Tazama baadhi ya picha za behind the scenes.14026554_1450796224937406_1965298587_n
14031609_171648116595722_1232327386_n
14063415_968079493304175_938290178_n
14099274_652267324950266_798681766_n
14026554_1450796224937406_1965298587_n
14031609_171648116595722_1232327386_n
14052200_1779586832299906_318731167_n
14063415_968079493304175_938290178_n
14099274_652267324950266_798681766_n
Photos/Videos Credit: Marcus Simms (hughheffofhair) Instagram