Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Victoria Kimani aachia single ya kwanza ya Kiswahili ‘Gota’

Victoria Kimani aachia single ya kwanza ya Kiswahili ‘Gota’

| No comment

Kwa muda mrefu Wakenya walikuwa wakidai kutozielewa nyimbo za Victoria Kimani na yeye mwenyewe mara kibao amewahi kulalamika kutopewa support ya kutosha nchini mwao.csydvjqxyaaltjt
Na sasa muimbaji huyo mrembo huenda akawa amepata dawa ya tatizo hilo. Kimani ameachia single ya kwanza ya Kiswahili iitwayo ‘Gota.’csyclfow8aahjfs
Kimani amemtaja rapper,Abbasdoobeez kuwa ndiye aliyemsaidia kuandika wimbo huo kwa Kiswahili. Wimbo huo uliotambulishwa jana kupitia Kiss FM ya Kenya, bado haujawekwa mtandaoni.
“ASANTE SANA !!! Thank you so much for Tuning in!!!!! Gawdddd I’ve never been so nervous 😂🙈🙈 Online Link will be out in a few ❤️❤️❤️ #GOTA,” aliandika kwenye Twitter