Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Salam za Mama Diamond Platnumz kwa Wema Sepetu

Salam za Mama Diamond Platnumz kwa Wema Sepetu

| No comment
September 28, 2016 ni siku ambayo anazaliwa mrembo na mwigizaji wa Filamu, Wema Sepetu ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia Mama mzazi wa Diamond Platnumz ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama yake Diamond akaisindikizia na maneno haya .. >>>Happy birthday.. Mamy akee@wemasepetu mungu akuongezee umri na akujali kheri akufungulie Mlango wa baraka kwa kila uliombalo.Amin😘😘 👑🎉\
sw12
sw12