Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Picha,Wema Sepetu amkumbuka Luis Munana.

Picha,Wema Sepetu amkumbuka Luis Munana.

| No comment
Baadhi ya mastaa bongo waliweka ujumbe tofauti kwa mashabiki wao kwaajili ya sikuku ya Eid, Wema Sepetu alitumia nafasi hio kumkumbuka Ex wake ambaye ni Model Mtanashati Luis Munana.
Luis Munana aliwahi kuripotiwa kuwa mpenzi wa Wema Sepetu ila kutokana na mastaa hawa wawili kuishi nchi tofauti ilikuwa ngumu kuendeleza mahusiano hayo.
Hii ni picha ya Luis Munana na Wema iliyokuwa maarufu zaidi bongo Leo 12 September 2016 na Ujumbe huu….
Eid Mubaraq everyone….!!! Gnyt World…!!!
wema-12