Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Nisamehe ya Barakah Da Prince na Alikiba kuachiwa Jumanne

Nisamehe ya Barakah Da Prince na Alikiba kuachiwa Jumanne

| No comment


Baada ya mashabiki kuisubiria kwa hamu collabo ya kwanza ya label mates wa Rockstar4000, Barakah Da Prince na Alikiba, sasa imethibitishwa kuwa wimbo wao ‘Nisamehe’ utaachiwa Jumanne, Septemba 13.14027180_163797870694711_988910182_n
Tarehe hiyo imethibitishwa na Barakah kupitia Twitter.
72ba243e-002b-4b0f-be6e-88b90f8cbcde
Video ya ngoma yao ilifanyika wiki kadhaa zilizopita nchini Afrika Kusini.