Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / New Video | Sauti Sol - Kuliko jana | watch

New Video | Sauti Sol - Kuliko jana | watch

| No comment
Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya linazidi kufanya vizuri kwenye industry ya burudani, safari hii wameachia Video yao mpya ya ‘kuliko jana‘ wakishirikiana na Redfourth Chorus ‘Upper Hill School’ 
Video ya KULIKO JANA imetayarishwa na Fulfillment Limited, na kufanyika Kenya na waongozaji wakiwa Tim Mwaura na Joash Omondi.  Wimbo umeandikwa na kutayarishwa na Sauti Sol na kingine ni kwamba kipande cha acapella kilipangwa na Philip Tuju na Redfourth Chorus