Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Msanii Nuh Mziwanda afungua studio yake.

Msanii Nuh Mziwanda afungua studio yake.

| No comment
Ni Sept 22, 2016 ambapo msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda anaziandika headlines baada ya kufungua studio yake mpya aliyoipa jina la Last Born Records, ambayo itahusika kurekodi kazi za wasanii.
Nuh Mziwanda anaingia kwenye list ya wasanii wanaomiliki studio huku akiwemo, Barnaba, Professor Jay, Diamond Platnumz, Dully Sykes, Nahreel, Bob Junior, Nay wa Mitego na wengineo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
aw1a0053