Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Makonda awashukuru mastaa wanaoiunga mkono kampeni ya ‘Mti Wangu’

Makonda awashukuru mastaa wanaoiunga mkono kampeni ya ‘Mti Wangu’

| No comment

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa shukrani kwa muigizaji Jacqueline Wolper na wengine wanaoiunga mkono kampeni yake ijayo, Mti Wangu.4k0a8400
4k0a8400
Mkuu wa mkoa huyo ametoa shukrani zake katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuweka picha ya muigizaji akiwa amevaa t-shirt yenye logo ya neno ‘mti wangu’ akionesha juhudi za kumuunga mkono.wolper
wolper
Jacqueline wolper akiwa kwenye vazi la jina la kampeni ya ‘mti wangu’
“Huwezi kujua umeugusa kwa kiasi gani moyo wangu, wewe na wote wanaosupport campaign yangu ya ‘MTI WANGU’ ninawashukuru sana sana”, aliandika Makonda.
“Endeeleni kuiunga mkono serikali, kwani miti tunayoipanda ina faida kubwa sana kwetu sisi wananchi”, aliongeza.
Mkuu wa mkoa alisema kampeni ya upandaji miti utakuwa Oktoba Mosi mwaka huu.
BY: EMMY MWAIPOPO