Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Lupita Nyong’o akava jarida la Vogue kwa mara ya tatu

Lupita Nyong’o akava jarida la Vogue kwa mara ya tatu

| No comment
Muigizaji wa filamu wa Kenya, Lupita Nyong’o amekava kwa mara nyingine kwenye jarida la Vogue la mwezi Oktoba, mwaka huu.lupita
lupita
Kupitia mtandao wa Twitter wa jarida hilo, wameandika “Actress @Lupita_Nyongo stars on the cover of our October issue!.”
Kwenye jarida hilo Lupita amezungumzia mambo mengi yakiwemo mahusiano yake pamoja na kutamani kufanya kitu cha tofauti kama alivyofanya mwanamitindo wa Uingereza mwenye asili ya Sudan Kusini, Alek Wek.
“Alek Wek changed how dark people saw themselves. That I could do the same in a way for somebody somewhere is amazing. There is no point in getting your picture taken if it doesn’t move somebody. Right?,” amesema Lupita kwenye jarida hilo.
Hii ni mara ya tatu kwa muigizaji huyo kutokea kwenye jarida hilo.