Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / KILIMANJARO QUEENS YAANZA CHALENJI KIBABE

KILIMANJARO QUEENS YAANZA CHALENJI KIBABE

| No comment

TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens jana ilianza vizuri mashindano ya Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Rwanda kwa mabao 3-2 katika mchezo uliofanyija Jinja, Uganda.

Kilimanjaro Queens waliandika bao la kwanza katika dakika ya 11 kupitia kwa Asha Rashid.TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens jana ilianza vizuri mashindano ya Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Rwanda kwa mabao 3-2 katika mchezo uliofanyija Jinja, Uganda.

Kilimanjaro Queens waliandika bao la kwanza katika dakika ya 11 kupitia kwa Asha Rashid.kilimanjaro-queen

Timu hiyo ambayo inapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo wa Chalenji katika mashindano hayo ya kwanza kwa wanawake Afrika Mashariki, ilifunga la pili katika dakika ya 28 mfungaji akiwa ni Stumai Abdallah.

Rwanda walipata bao lao la kwanza kupitia kwa Ibangarrye Marie, na hadi kipindi cha kwanza kinamalizika, Kili Queens walikuwa mbele kwa mabao 2-1. Katika kipindi cha pili, Kilimanjaro walijifunga kwa bao la Amona Ally na matokeo kuwa 2-2.

Rashid alifunga bao lake la pili na kuiwezesha Kilimanjaro Queens kupata bao la tatu katika dakika ya 65. Katika mechi za ufunguzi juzi, wenyeji Uganda walitoa kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa Kenya, huku Zanzibar ikipokea kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwa Burundi baada ya kufungwa mabao 10-0 katika mchezo mwingine wa Kundi A.