Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Gerson Msigwa ala shavu rasmi kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Gerson Msigwa ala shavu rasmi kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

| No comment
Kutoka kuwa ripota wa mikoa ya kusini kwenye kituo cha runinga cha taifa, TBC One, hadi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano Ikulu, hakika Gerson Msigwa ameula.
index
Uteuzi wa Gerson aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo tangu Rais Dkt John Magufuli aingie madarakani, umetangazwa leo.

04d681ec-9e84-42e7-ab99-34f14b179275
04d681ec-9e84-42e7-ab99-34f14b179275
BY: EMMY MWAIPOPO