Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Gavana Ndulu - Uchumi wa Tanzania bado ni imara

Gavana Ndulu - Uchumi wa Tanzania bado ni imara

| No comment
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu, amekanusha kuwepo kwa mdororo wa uchumi nchini, na kusema kuwa uchumi wa nchi kwa sasa bado upo imara na unaendelea kukuwa kama ilivyotarajiwa.Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu, amekanusha kuwepo kwa mdororo wa uchumi nchini, na kusema kuwa uchumi wa nchi kwa sasa bado upo imara na unaendelea kukuwa kama ilivyotarajiwa.

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania - Beno Ndullu
Prof. Ndulu ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumzia hali ya uchumi nchini na kwamba kinachoonekna sasa ni fedha kuhama kutoka katika mikono haramu kwenda kwenye matumizi halali na sahihi kwa uchumi.
Aidha, Profesa Ndulu amesema serikali haina mpango wowote wa kuchapisha noti mpya kwa sababu uchumi wa nchi ni imara na hakuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo kwa sasa