Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Fiesta 2016 : Tamasha la tamadunika lafanyika Morogoro

Fiesta 2016 : Tamasha la tamadunika lafanyika Morogoro

| No comment
 

Tamasha la Tamadunika limefanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege, mjini Morogoro na kufunguliwa na Afisa Utamaduni wa manispaa hiyo, Steven Ditenya na vikundi vya ,Mapinduzi Culture Group, AfrikaBati , Towero Sanaa Group, Dragon vimeshiriki.