Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Exclusive,Kwa mara ya kwanza Najma azungumzia drama kati yake na Mr Blue.

Exclusive,Kwa mara ya kwanza Najma azungumzia drama kati yake na Mr Blue.

| No comment
najma-12Baada ya Mr Blue kutangaza kuchukua hatua za kisheria kwa Najma au Barakaendapo atagundua kuwa wao ndiyo walianzisha ile skendo iliyomuhusisha yeye kuwa anachepuka na Najma ili kuupa ‘kiki‘ wimbo wao mpya, ENews ya East Africa Tv imeongea na Najma na kugundua hili..
Najma anasema “Sioni kama kuna tatizo, ila naona tu haya mambo yanakuzwa na maneno ya watu, Mimi huwa sifanyi kazi kwa ‘kiki’, na kwa sasa chochote nitakachokisema ninaweza nisieleweke hivyo nimeamua ni bora nikae kimya tu”.
Pia Mr Blue alisema kuwa aliongea na Baraka akasemea kuwa hajui uzushi huo umetokea wapi, hivyo wakayamaliza bila ya kuwa na tatizo.