Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Chemical afunguka kuhusu wimbo wake mpya ‘Am Sorry Mama

Chemical afunguka kuhusu wimbo wake mpya ‘Am Sorry Mama

| No comment
Rapper wa kike Bongo, Chemical amefunguka kwa kuelezea mazingira aliyopitia kwenye wimbo wake mpya ‘Am Sorry Mama’ aliomshirikisha Centano.14240897_1766717963616257_914734054_n
Chemical ameiambia Bongo5 kuwa kwenye wimbo huo kuna baadhi ya asilimia umemgusa yeye mwenyewe.
KUHUSU IDEA YA WIMBO HUO
Kuna baadhi ya vitu vinaendana. Idea niliitoa nikasema siku mama akiwa anajua mimi niko in love, kwa sababu ile ni nyimbo ya mapenzi halafu ukisikia maneno ya mule ni mazito mazito nikawa na-imagine nyimbo kama hii mama anakuja kuisikia ataona kumbe mtoto wangu ndio kafikia huko? Mimi nyumbani wananichukulia kama bado ni mdogo wananiona siko serious kuingia kwenye commitment kubwa kwahiyo watanichukuliaje. Baada ya kuwasikilizisha wimbo wazazi walisema kuwa wanataka kumuona atoe mahari of course ndio comment niliyoipata kutoka kwao.
KUHUSU MUONEKANO WAKE KWENYE VIDEO HIYO
Kwanza mimi nilikuwa natamani watu waione video kwa sababu watu wengi walikuwa wanahisi kuwa Chemical hawezi kuwa vile lakini mwisho wa siku mimi ni msanii nafanya sanaa. Kwahiyo inabidi ubadilike kutokana na nyimbo inavyotaka, ile ni nyimbo ya mapenzi sidhani kama ningekuwa mgumu kama ingemake sence. Nashukuru mpaka sasa hivi sijapata comment mbaya zote nilizopata zinausifia wimbo.
KUHUSU KISS LA KWENYE HIYO VIDEO
Lile kiss halikuwa real sana kwa kuwa kuna real butu na real sana, tulijaribu kuweka uhalisia ili tuonekane kama it’s not a big deal, tumefanya kama tulichotakiwa kukifanya. Of course yule mkaka ni handsome kama unavyomuona, kusema kweli ni handsome ukiacha kufanya naye nyimbo kuna mazingira tulikuwa tunafanya nilikuwa kama sikuwa comfortable kwa sababu the way anavyokuangalia, ujue mimi ni msichana? Kwahiyo alivyokuwa ananiangalia nikawa kama na-fall in love lakini hamna mwisho wa siku tukamaliza ikawa ni kazi.