Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / BUSHOKE AUTAJA WIMBO WAKE MPYA ALIOPEWA NA RUGE MUTAHABA

BUSHOKE AUTAJA WIMBO WAKE MPYA ALIOPEWA NA RUGE MUTAHABA

| No comment

Image result for bushoke na ruge mutahabaRuge Mutahaba ni moja ya watu ambao wanatajwa kuwa na mchango mkubwa kwenye tasnia ya Muziki hapa nchini, kwa ubunifu wa masuala mbalimbali ya kuipeleka tasnia hiyo kimataifa.

Hitmaker wa Mpita Njia Bushoke amekuwa miongoni mwa wasanii ambao wameshindwa kuficha hisia zao na kuamua kueleza ni jinsi gani amesaidiwa na mtu huyo, huku akitaja moja ya project zake za wimbo zinazofuata kupewa na RugeImage result for bushoke na ruge mutahaba