Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / BANKA- UZOEFU WANGU UTAISAIDIA STARS

BANKA- UZOEFU WANGU UTAISAIDIA STARS

| No comment

banka1Kiungo wa zamani wa Simba, na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mohammed Banka, ameripoti mazoezini , katika kuongeza nguvu kikosi cha timu ya taifa ya ufukweni, inayojiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Ivory Coast, mwishoni mwa wiki

Banka, aliyeitwa kikosini sambamba na mlinda mlango mkongwe Juma Kaseja, amesema atatumia uzoefu wake, katika soka, kuhakikisha timu hiyo, inafanya vizuri katika mchezo huo, kwa kuwa hakuna tofauti sana baina ya soka la kawaida na lile la ufukweni.

Banka, amesema soka la ufukweni, lina sheria zake tofauti na soka la kwenye nyasi, lakini wameshaelekezwa na kuzifahamu.