Jarida maarufu la Marekani, Essence limetoa orodha ya wanawake 15 wenye ushawishi zaidi mtandaoni.
Ni Vanessa Mdee peke yake ndiye aliyeingia kwenye orodha hiyo kutoka Tanzania.
“The first MTV VJ out of Tanzania, Vanessa Mdee, also known as Vee Money, is one of the most famous artists out of East Africa. Naturally cheeky with an edgy sense of style, the East African beauty can be found hosting gigs or gracing stages all over the continent,” wameandika.
Wengine ni pamoja na:
Genevieve Nnaji – Nigeria
Pearl Thusi – Afrika Kusini
Yemi Alade – Nigeria
Maame Adjei – Ghana
Saran Kaba Jones – Liberia
Tiwa Savage – Nigeria
Lupita Nyong’o – Kenya
Yvonne Nelson – Ghana
Bonang Matheba – Afrika Kusini
Linda Ikeji – Nigeria
Minenhle “Minnie” Dlamini – Afrika Kusini
Ory Okolloh Mwangi – Kenya
Betty Richoux And Ornella Mayassi – Senegal/Angola/DRC/France
Pearl Thusi – Afrika Kusini
Yemi Alade – Nigeria
Maame Adjei – Ghana
Saran Kaba Jones – Liberia
Tiwa Savage – Nigeria
Lupita Nyong’o – Kenya
Yvonne Nelson – Ghana
Bonang Matheba – Afrika Kusini
Linda Ikeji – Nigeria
Minenhle “Minnie” Dlamini – Afrika Kusini
Ory Okolloh Mwangi – Kenya
Betty Richoux And Ornella Mayassi – Senegal/Angola/DRC/France