Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Tuzo za MTV Video Music Awards 2016 ziko njiani….

Tuzo za MTV Video Music Awards 2016 ziko njiani….

| No comment
Tuzo za muziki za MTV Africa 2016 maarufu kama MTV MAMA zinatarajiwa kufanyika tarehe 22 October Johannesburg Afrika Kusini.
AQ233344
Uzinduzi wa tuzo hizo ulifanyika August 23, 2016 mbele ya waandishi wa habari mbalimbali, pia kupitia kwenye mtandao wao wa twitter walitoa taarifa hizo kwa mashabiki kwa kuwepo kwa tuzo hizo 2016.