Moro Kitaa Blog
Sorry, but you are looking for something that isn't here.
You are here:
Home
/
NEWZ
Rais afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua mikoba ya Rashid Othman
Rais afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua mikoba ya Rashid Othman

Hakuna asiyefahamu umuhimu ya Idara nyeti ya Usalama wa Taifa kwa mustakabali wa taifa la Tanzania.
Ni wazi bila uwepo wa idara hii nchi itayumba katika suala zima la usalama wa nchi na ndio maana nchi zote duniani idara hii hupewa kipaumbele kutokana na umuhimu wake.
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua mikoba ya Rashid Othman ambaye amestaafu.
Taarifa kutoka Ikulu inaeleza zaidi hapo chini.
