Akiongea na mwandishi wa habari wa Rwanda, Janvier Popote, Jokate alidai kuwa tayari amepata wakala mkubwa wa bidhaa zake zikiwemo nywele za akinadada.
Hizi ni baadhi ya picha akiwa Rwanda. Jokate amedai kuwa ameanza kupeleka bidhaa zake Rwanda kutokana na ukaribu wa sasa uliopo kati ya Rais Dkt John Magufuli na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.