Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Picha: Alikiba alivyotumbuiza mbele ya watu 15k Mombasa

Picha: Alikiba alivyotumbuiza mbele ya watu 15k Mombasa

| No comment
Alikiba aliusurprise umati mkubwa wa wapenzi wa muziki jijini Mwanza kwenye show ya Fiesta Jumamosi iliyopita na kusababisha shangwe kubwa lakini hiyo haikutosha.
14063647_1146049435467263_1886367115_n

Mkali huyo wa Aje siku moja baadaye alitumbuiza mbele ya mashabiki takriban 15,000 kwenye uwanja wa Mama Ngina Drive mjini Mombasa, Kenya, mbele ya gavana, Hassan Ali Joho.
Lilikuwa ni tamasha kubwa la Mombasa International Cultural Festival ambapo kundi la Sauti Sol pia lilitumbuiza. Hizi ni picha zaidi.14099786_935462419909952_1931279717_n
13658742_1754160411493943_441281174_n13671787_1213958168643881_120970319_n