Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Mtanzania Hamisa mobetto atajwa kwenye tuzo za starqt Afrika kusini.

Mtanzania Hamisa mobetto atajwa kwenye tuzo za starqt Afrika kusini.

| No comment
Hamissa Mobetto ni staa pekee wa Tanzania aliyetajwa kuwania tuzo za Starqt zinazofanyika nchini Afrika Kusini.
2c558dc8-1020-4c13-9a9e-d80f0e9caa0d
2c558dc8-1020-4c13-9a9e-d80f0e9caa0d huyo ametajwa kuwania vipengele viwili; Best Dressed Lady na People’s Choice Awards.
Hii ni mara ya tatu tuzo hizo zinatolewa na huwatunuku mastaa wa Afrika kwa kazi wanazozifanya katika sekta za muziki, filamu, mitindo, michezo na zingine.
13741198_1648280355490984_423045057_n
13741198_1648280355490984_423045057_n
“Ni kitu kikubwa, somehow kinakuwa kama kinakutikisa kidogo hivi kiakili kwasababu ukiwa mtu pekee kutoka kwenye nchi yako na mwanamke na unakutana na watu wengine, lakini kila kitu kitakuwa kheri na tuzo itarudi nyumbani,” Hamisa alimuambia mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, Dj Rodger.
13694855_317016825308652_1841303343_n
13694855_317016825308652_1841303343_n
“Mimi ni Mtanzania pekee niliyepo kwenye hizo tuzo na nilichaguliwa na wao wenyewe wakaamua kuniweka kwa kuona ninafaa, kwasababu mnakutana na watu wa Kenya, South Africa, Uganda, na nchi nyingine mbalimbali. Kwahiyo kuwekwa tu pale inaonesha wanakuappreciate,” ameongeza.
Mrembo huyo amewaomba mashabiki wake kumpigia kura kwa kwenda kubonyeza link iliyopo kwenye bio yake ya Instagram.
Tuzo hizo zitatolewa September 10 nchini Afrika Kusini