Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / MSANII RUBY AKIMBILIA EFM BAADA YA KUGOMBANA NA CLOUDS FM.

MSANII RUBY AKIMBILIA EFM BAADA YA KUGOMBANA NA CLOUDS FM.

| No comment
 Ruby akiwa Kwenye Tamasha la EFM

Mwimbaji Ruby ambae alikuzwa na kulelewa na Clouds FM Baada ya Kufanya vizuri katika mashindano ya Fiesta Diva Nyota miaka kadhaa iliyopita amejikuta katika ugomvi wa kimaslahi na walezi wake Clouds FM baada ya kushindwana malipo katika Matamsha ya Fiesta yanayoendelea hivi sasa..


Ruby kwa sasa inaonekana amekimbili kwa washindani wa Clouds FM ambano ni EFM Radio, Radio hiyo mpya ambayo ni washindani wa Clouds FM kwa jijini Dar es Salaam wamechukua fursa hiyo na sasa wanamtumia katika matamasha yao ya Mziki Mnene Sehemu mbali mbali.