Moro Kitaa Blog
Sorry, but you are looking for something that isn't here.
You are here:
Home
/
MUSIC NEWZ
MFAHAMU VIZURI PRODUCER WA WIMBO WA DUNIA IMENITUPA WA RUBY BAND.
MFAHAMU VIZURI PRODUCER WA WIMBO WA DUNIA IMENITUPA WA RUBY BAND.
Lameck Nebo Mgege maarufu kama Duppah Soksi 8.Alilelewa mjini Morogoro maeneo ya Mazimbu Modeko, Duppah soksi nane ni miongini mwa Music producer aliyewahi kupitia sehemu tofauti tofauti katika kazi zake za music. Kwa wadau wa morogoro walikuwa wakimfahamu kwa jina la Lam k na baadae akajiita Mecky touch miaka mitano iliyopita ,harakati zake zilianzia Pure Records Mazimbu badae akahamia Sweet record iliyokuwa Mjini Morogoro mitaa ya Sabasaba.
Duppah Soksi nane aliamua kuamishia makazi yake Dar es salaam kikazi zaidi ambapo aliweza kutengeneza Hit mbalimbali kama Yule yule ya msanii PNC na Usiniukumu ya Chriss wa marya.
Kwa sasa Duppah soksi nane yupo ndani ya studio za Ruby records aikwa kama producer wa Ruby band na tayari ameachia baadhi ya kazi kama vile Nilijipa moyo ya Ruby band na Dunia imenitupa yake Thabit Abdul zilizofanyika chini ya mikono yake.
Unaweza kuwasiliana na Duppah soksi na kupitia namba za simu +255717235079